Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #130

Hymn 130 Yesu Kwetu ni Rafiki

[V1]
Yesu kwetu ni rafiki, wambiwa haja pia,
Tukiomba kwa Babaye, maombi asikia,
Lakini twajikosesha, twajitweka vibaya,
Kama tulimwomba Mungu, dua alisikia.

[V2]
Una dhiki na maonjo? unamashaka pia?
Haifai kufa moyo, dua atasikia,
Hakuna mwingine mwema, wa kutuhurumia,
Atujua tu dhaifu, maombi asikia.

[V3]
Je hunayo hata nguvu, huwezi kwendelea,
Ujapodharauliwa, njaporushwa pia,
Watu wakikudharau, wapendao dunia,
Hukwambata mikononi, dua atasikia.

130. Yesu Kwetu ni Rafiki

Link copied to clipboard successfully!