Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #129

Hymn 129 Kumtegemea Mwokozi

[V1]
Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa,
Kukubali neno lake, nina raha moyoni.

[C]

Yesu Yesu namwamini, nimemwona thabiti,
Yesu Yesu yu thamani, ahadi zake kweli.

[V2]
Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa,
Kuamini damu yake, nimeoshwa kamili.

[C]

Yesu Yesu namwamini, nimemwona thabiti,
Yesu Yesu yu thamani, ahadi zake kweli.

[V3]
Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa,
Kwake daima napata, uzima na amani.

[C]

Yesu Yesu namwamini, nimemwona thabiti,
Yesu Yesu yu thamani, ahadi zake kweli.

[V4]
Nafurahi kwa sababu, nimekutegemea,
Yesu mpendwa rafiki, uwe nami dawamu.

[C]

Yesu Yesu namwamini, nimemwona thabiti,
Yesu Yesu yu thamani, ahadi zake kweli.

129. Kumtegemea Mwokozi

Link copied to clipboard successfully!