Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #72

Hymn 72 Jenga Juu ya Mwamba

[V1]
Tutajenga juu ya mwamba, wa Yesu mwamba wa kale,
Tutavumilia kishindo, tufani ivumapo.

[C]

Tutajenga juu, (Tutajenga juu ya mwamba mkuu)

Tutajenga juu ya mwamba mkuu, juu yake Yesu.

[V2]
Wengine hujenga katika, mchanga wa ulimwengu,
Wengine katika mawimbi, ya anasa za dhambi.

[C]

Tutajenga juu, (Tutajenga juu ya mwamba mkuu)
Tutajenga juu, (Tutajenga juu ya mwamba mkuu)
Tutajenga juu ya mwamba mkuu, juu yake Yesu.

[V3]
Jenga nawe juu ya mwamba, msingi pekee wa kweli,
Tumai lake litadumu, tumai la wokovu.

[C]

Tutajenga juu, (Tutajenga juu ya mwamba mkuu)
Tutajenga juu, (Tutajenga juu ya mwamba mkuu)
Tutajenga juu ya mwamba mkuu, juu yake Yesu.

72. Jenga Juu ya Mwamba

Link copied to clipboard successfully!