Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #44

Hymn 44 Hakuna Rafiki Kama Yesu

[V1]
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,
Tabibu mwingine wa rohoni, hakuna, hakuna.

[C]

Yesu ajua shida zetu, daima ataongoza,
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,

[V2]
Wakati ambapo hapo yeye, hapana, hapana,
Wala giza kututenga naye, hapana, hapana.

[C]

Yesu ajua shida zetu, daima ataongoza,
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,

[V3]
Aliyesahauliwa naye, hakuna, hakuna,
Mkosaji asiyempenda, hakuna, hakuna.

[C]

Yesu ajua shida zetu, daima ataongoza,
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,

[V4]
Kipawa kama Mwokozi wetu, hakuna, hakuna,
Ambaye atanyimwa wokovu, hakuna hakuna.

[C]

Yesu ajua shida zetu, daima ataongoza,
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,

44. Hakuna Rafiki Kama Yesu

Link copied to clipboard successfully!