Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #86

Hymn 86 Ukaribie Tena

[V1]
Ukaribie tena, ewe siku ya raha,
Roho yakusalimu, kama mwanga wa mbingu.

[V2]
Raha yako tulivu, yafurahisha moyo,
Yatuliza taabu, hata waisha mwendo.

[V3]
Ee siku takatifu, ya sifa na maombi,
Na kutuhekimisha, baraka yako kubwa.

86. Ukaribie Tena

Link copied to clipboard successfully!