Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #81

Hymn 81 Siku Sita Zimepita

[V1]
Siku sita zimepita, Sabato tena karudi,
Shangilie roho yangu, itukuze kwa busara.

[V2]
Msifuni awapaye, pumziko tamu wachovu,
Kwake roho yatulizwa, kupita siku nyingine.

[V3]
Moyo wetu ufurahi, na kutoa shukurani,
Ujalizwe raha ile, yasiyopitika kamwe.

[V4]
Raha hiyo ya rohoni, ni amana ya pumziko,
Ambalo limewekwa juu, kikomo cha masumbuko.

81. Siku Sita Zimepita

Link copied to clipboard successfully!