Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #84

Hymn 84 Ikumbuke Kote Sabato

[V1]
Ikumbuke kote, Sabato ya Bwana,
Siku tamu na bora, kupita nyingine,
Yatuletea raha, na furaha kweli,
Mwanga wake hung’aza, urembo wa Yesu.

[C]

Karibie karibie, Sabato tamu,
Karibie Yesu pia, Bwana wa raha.

[V2]
Itakase kweli, ukamsifu leo,
Yeye aliyesema, “Mimi ndiye njia,”
Nasi tukimfuata, Mkombozi hapa,
Atatunywesha tele, maji ya uzima.

[C]

Karibie karibie, Sabato tamu,
Karibie Yesu pia, Bwana wa raha.

[V3]
Siku ya nderemo, tupishe wakati,
Tukimwimbia Yesu, rafiki mpendwa,
Mponya wetu leo, u mwema ajabu,
Ukae kwetu Bwana, moyoni daima.

[C]

Karibie karibie, Sabato tamu,
Karibie Yesu pia, Bwana wa raha.

84. Ikumbuke Kote Sabato

Link copied to clipboard successfully!