Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #63

Hymn 63 Niuonapo Msalaba

[V1]
Niuonapo Msalaba, Kristo aliponifia,
Kwangu pato ni hasara, kiburi nakichukia.

[V2]
Na nisijivune Bwana, ila kwa sadaka yako,
Upuzi sitaki tena, zi chini ya damu yako.

[V3]
Tazama kichwani kwake, mikononi na miguu,
Huzuni pendo twaona, vyabubujika daima.

[V4]
Vitu vyote vya dunia, si sadaka ya kutosha,
Pendo zako zaniwia, nafsi mali na maisha.

63. Niuonapo Msalaba

Link copied to clipboard successfully!