Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #156

Hymn 156 Uniongoze Yehova

[V1]
Uniongoze Yehova, ni msafiri chini,
Ni mnyonge u hodari, nilinde kwa mkono.
Unitunze, unilinde, unionyeshe njia.

[V2]
Na kisima cha uzima, maji ya utabibu,
Fungua na moyo wangu, ninywe na kuponyeka,
Uninyweshe, unilishe, hata nimetosheka.

[V3]
Wakati wa kuuvuka, ule mto Yordani,
Hofu yangu hufariji, nione uso wako,
Nyimbo shangwe, nyimbo shangwe, nitaimba daima.

156. Uniongoze Yehova

Link copied to clipboard successfully!