Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #143

Hymn 143 Baba Sina Msaada

[V1]
Baba sina msaada ila kwako pekee,
Kama kwangu ungefichwa, nifanyeje Baba?

[C]

Sasa hivi naamini, Yesu alikufa,
Aliimwaga damu yake, nitoke dhambini.

[V2]
Naamini mwana wako, nipe nguvu zako,
Nijazie mahitaji, katika saa hii.

[C]

Sasa hivi naamini, Yesu alikufa,
Aliimwaga damu yake, nitoke dhambini.

[V3]
Ni furaha gani kwangu, kukuona uso,
Nijue sauti yako, nipate neema.

[C]

Sasa hivi naamini, Yesu alikufa,
Aliimwaga damu yake, nitoke dhambini.

143. Baba Sina Msaada

Link copied to clipboard successfully!