Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #142

Hymn 142 Nasikia Mwito

[V1]
Nasikia mwito, ni sauti yako,
Nikasafiwe kwa damu, ya kwangikwa kwako.

[C]

Nimesogea, mtini pako,
Unisafi kwa damu, ya kuangikwa kwako.

[V2]
Ni mnyonge kweli, umenipa nguvu,
Ulivyonisafi taka, ni utimilivu.

[C]

Nimesogea, mtini pako,
Unisafi kwa damu, ya kuangikwa kwako.

[V3]
Yesu hunijuvya, mapenzi imani,
Tumai amani radhi, hapa na mbinguni.

[C]

Nimesogea, mtini pako,
Unisafi kwa damu, ya kuangikwa kwako.

[V4]
Napata wokovu, wema na neema,
Kwako Bwana nina nguvu, na haki daima.

[C]

Nimesogea, mtini pako,
Unisafi kwa damu, ya kuangikwa kwako.

142. Nasikia Mwito

Link copied to clipboard successfully!