Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #144

Hymn 144 Ni Wako Bwana

[V1]
Ni wako Bwana, ninasikia, unaponena nami,
Lakini kweli, nataka kwako, nizidi kusogea.

[C]

Bwana vuta, (vuta) nije nisongee,
Sana kwako mtini,
Bwana vuta, (vuta) nije nisogee,
Pa damu ya thamani.

[V2]
Niweke sasa, nikatumike, kwa nguvu za neema,
Uyapendayo, nami nipende, nizidi kukwandama.

[C]

Bwana vuta, (vuta) nije nisongee,
Sana kwako mtini,
Bwana vuta, (vuta) nije nisogee,
Pa damu ya thamani.

[V3]
Nina furaha, tele kila saa, nizungumzapo nawe,
Ninanena kama kwa rafiki, nikipiga magoti.

[C]

Bwana vuta, (vuta) nije nisongee,
Sana kwako mtini,
Bwana vuta, (vuta) nije nisogee,
Pa damu ya thamani.

144. Ni Wako Bwana

Link copied to clipboard successfully!