Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #199

Hymn 199 Upendo ni Furaha

[V1]
Upendo ni furaha, ni kweli desturi,
Yake kuzisahihisha njia zetu zote.

[C]

Yu pendo, tu watoto wake.
Yu pendo, mwana wa Mungu,
Na sisi tupendane, kama Baba Mungu,
Amri yake ndiyo hii, kupendana sana.

[V2]
Duniani huzuni, ugonjwa mauti,
Kwa pendo tuwafariji wenye mahitaji.

[C]

Yu pendo, tu watoto wake.
Yu pendo, mwana wa Mungu,
Na sisi tupendane, kama Baba Mungu,
Amri yake ndiyo hii, kupendana sana.

[V3]
Na atakapokuja, kutuchukua juu,
Tutaimbia milele pendo lake Yesu.

[C]

Yu pendo, tu watoto wake.
Yu pendo, mwana wa Mungu,
Na sisi tupendane, kama Baba Mungu,
Amri yake ndiyo hii, kupendana sana.

199. Upendo ni Furaha

Link copied to clipboard successfully!