Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #194

Hymn 194 Twaomba Bwana

[V1]
Twaomba Bwana, umpokee kama mhudumu,
Ambaye anajitoa, kuwa mtumishi.

[V2]
Twaomba Bwana, umpokee kama mhudumu,
Neno lako alitoe, mwangaza kung’aa.

[V3]
Mwokozi wetu, twaomba na umwandikie,
Kitabuni mwako, juu mjumbe wa injili.

[V4]
Silaha zake, apewe kumshinda adui,
Vitani awe hodari, mpaka mauti.

[V5]
Yeye ashindaye, Bwana kwa rehema yako,
Ile taji ya dhahabu, nawe utampa.
Kuweka Kanisa Wakfu

194. Twaomba Bwana

Link copied to clipboard successfully!