Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #164

Hymn 164 Unakaribia Wakati

[V1]
Unakaribia wakati wa kuja kwa Yesu,
Atawachukua watu wake nyumbani juu.

[C]

Tunaiona mishale ya nuru inayopenya giza,
Tunaiona mishale ya nuru ya ufufuo.

[V2]
Injili inatangazwa pote kwa mataifa,
Bwana wa Arusi atakuja na tarumbeta.

[C]

Tunaiona mishale ya nuru inayopenya giza,
Tunaiona mishale ya nuru ya ufufuo.

[V3]
Pamoja na malaika zake Bwana arudi,
Awapeleke waaminifu wasife tena.

[C]

Tunaiona mishale ya nuru inayopenya giza,
Tunaiona mishale ya nuru ya ufufuo.

[V4]
Wapenzi waliotengwa kale watakutana,
Machozi yao wenye huzuni yatafutika.

[C]

Tunaiona mishale ya nuru inayopenya giza,
Tunaiona mishale ya nuru ya ufufuo.

164. Unakaribia Wakati

Link copied to clipboard successfully!