Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #113

Hymn 113 Damu Imebubujika

[V1]
Damu imebubujika, ni ya Imanweli,
Wakioga wenye taka, husafiwa kweli.

[V2]
Ilimpa kushukuru, mwivi mautini,
Nami nisiye udhuru, yanisafi ndani.

[V3]
Kondoo wa kuuawa, damu ina nguvu,
Wako wote kuokoa, kwa utimilivu.

[V4]
Bwana tangu damu yako, kunisafi kale,
Nimeimba sifa zako, ‘taimba milele.

[V5]
Bwana, umenikirimu, nisiyestahili
Kwa damu yako sehemu, ya mali ya kweli.

[V6]
Nikubali kukwimbia, mbinguni milele.
Mungu nitamsifia, jina lako pekee.

113. Damu Imebubujika

Link copied to clipboard successfully!