Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #112

Hymn 112 Wewe umechoka sana?

[V1]
Kwake Yesu utapata msaada.

[V2]
Alama anazo yeye? Sana makovu,
Ya mikono na miguu na mbavu.

[V3]
Naye amevikwa taji, kichwani mwake?
Taji kweli alivikwa miiba.

[V4]
Huku nikimfuata, nipate nini?
Maonjo nje na ndani - amani.

[V5]
Kwamba namwandama yeye, mwisho ni nini?
Kurithi furaha naye - milele.

112. Wewe umechoka sana?

Link copied to clipboard successfully!