Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #108

Hymn 108 Tumesikia Mbiu

[V1]
Utangazeni kote, Yesu huokoa.
Tiini amri hiyo, nchini baharini,
Enezeni mbiu hii, Yesu huokoa.

[V2]
Imba nawe askari, Yesu huokoa,
Kwa nguvu ya kombozi, Yesu huokoa,
Imbeni wenye shida, unapoumwa moyo,
Mauti imeshindwa, Yesu huokoa.

[V3]
Mawimbini uenee, Yesu huokoa,
Wenye dhambi jueni, Yesu huokoa,
Visiwa na viimbe, vilindi itikeni,
Na nchi shangilia, Yesu huokoa.

[V4]
Upepo utangaze, Yesu huokoa,
Mataifa yashangaa, Yesu huokoa,
Milimani, bondeni, sauti isikike,
Ya wimbo wa washindi, Yesu huokoa.

108. Tumesikia Mbiu

Link copied to clipboard successfully!