Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #70

Hymn 70 Wapenzi wa Bwana

[V1]
Wapenzi wa Bwana, ije raha yenu,
Imbeni nyimbo za raha, imbeni nyimbo za raha,
Za ibada yenu, za ibada yenu.

[C]

Twenenda Zayuni, mji mzuri Zayuni,
Twenenda juu Zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

[V2]
Wasiimbe wao wasioamini,
Watoto wa Mungu ndio, watoto wa Mungu ndio,
Waimbao chini, waimbao chini.

[C]

Twenenda Zayuni, mji mzuri Zayuni,
Twenenda juu Zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

[V3]
Twaona rohoni, baraka za Mungu,
Tusijafika mbinguni, tusijafika mbinguni,
Kwenye utukufu, kwenye utukufu.

[C]

Twenenda Zayuni, mji mzuri Zayuni,
Twenenda juu Zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

[V4]
Tutakapomwona, masumbuko basi,
Huwa maji ya uzima, huwa maji ya uzima.
Furaha halisi, furaha halisi.

[C]

Twenenda Zayuni, mji mzuri Zayuni,
Twenenda juu Zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

70. Wapenzi wa Bwana

Link copied to clipboard successfully!