Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #68

Hymn 68 Umtetee Mungu Duniani

[V1]
Umtetee Mungu duniani, ijapo pepo kali zavuma,
Mwambani pekee pana nguvu, dhambi ikilemea.

[C]

Tusimame imara katika mwamba,
Mwamba wa Kristo pekee,
Ndipo salamani tutasimama,
Kule kitini pa enzi.

[V2]
Itetee haki kwa bidii, kwa moyo mnyofu wa imani,
Mwambani pekee utashinda, wingi wa upotovu.

[C]

Tusimame imara katika mwamba,
Mwamba wa Kristo pekee,
Ndipo salamani tutasimama,
Kule kitini pa enzi.

[V3]
Itetee kweli itadumu, ijapokawia itashinda,
Mwambani pekee pana raha, yaishapo tufani.

[C]

Tusimame imara katika mwamba,
Mwamba wa Kristo pekee,
Ndipo salamani tutasimama,
Kule kitini pa enzi.

68. Umtetee Mungu Duniani

Link copied to clipboard successfully!