Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #58

Hymn 58 Leo Ninafikiria

[V1]
Leo ninafikiria nchi nzuri, ninayotaka kuiona,
Nisimamapo karibu na Mwokozi, tajini zitakuwa nyota?

[C]

Sijui tajini mwangu kama nyota, zitang’aa kila wakati.
Nitakapoamka katika majumba, zitakuwa nyota tajini?

[V2]
Kwa nguvu za Bwana nitafanya kazi, nitavuta roho za
watu, Ili niwe na nyota katika taji, Bwana anapotupa tunu.

[C]

Sijui tajini mwangu kama nyota, zitang’aa kila wakati.
Nitakapoamka katika majumba, zitakuwa nyota tajini?

[V3]
Nitakuwa na furaha nikimwona, kuweka miguuni pake,
Watu waliovutwa kwa ajili ya kazi yangu na roho yake.

[C]

Sijui tajini mwangu kama nyota, zitang’aa kila wakati.
Nitakapoamka katika majumba, zitakuwa nyota tajini?

58. Leo Ninafikiria

Link copied to clipboard successfully!