Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #57

Hymn 57 Usiikatae Kazi

[V1]
Ukae tayari, kuifanya kazi,
Uende po pote, Mungu akwitapo,
Nawe utaona, furaha kazini.

[C]

Njoo we, usiikatae, Njoo we, uifanye kazi,
Usiikatae kazi yake Bwana, ili hatimaye,
usikatazwe juu.

[V2]
Usiikatae, kazi yake Bwana,
Kwa nini kawia, fanya kazi leo,
Mavuno meupe, wachache wavuni,
Onyesha furaha, kwa kazi ya Bwana.

[C]

Njoo we, usiikatae, Njoo we, uifanye kazi,
Usiikatae kazi yake Bwana, ili hatimaye,
usikatazwe juu.

[V3]
Usiikatae kazi, yake Bwana,
Kukataa pendo, kwako ni hatari,
Saa ya rehema, Yesu akiomba,
Ziungame dhambi, zifutwe mbinguni.

[C]

Njoo we, usiikatae, Njoo we, uifanye kazi,
Usiikatae kazi yake Bwana, ili hatimaye,
usikatazwe juu.

57. Usiikatae Kazi

Link copied to clipboard successfully!