Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #47

Hymn 47 Ni Heri Kifungo

[V1]
Ni heri kifungo kinachotufunga,
Mioyo yetu kwa pendo pendo la Kikristo.

[V2]
Mbele ya Baba tunatoa sala,
Hofu nia masumbufu yetu ni mamoja.

[V3]
Tunavishiriki matata na shida,
Na mara nyingi twatoa chozi la fanaka.

[V4]
Tunapoachana moyoni twalia,
Lakini tutakutana mwisho mbinguni.

47. Ni Heri Kifungo

Link copied to clipboard successfully!