Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #36

Hymn 36 Ni Siku Kuu

[V1]
Ni siku kuu, siku ile, ya kumkiri Mwokozi,
Moyo umejaa tele, kunyamaza hauwezi.

[C]

Siku kuu! Siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu kuu,
Hukesha na kuomba tu, ananiongoza miguu,
Siku kuu! siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu kuu.

[V2]
Tumekwisha kupatana, mimi wake, yeye wangu,
Na sasa nitamwandama, nikiri neno la Mungu.

[C]

Siku kuu! Siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu kuu,
Hukesha na kuomba tu, ananiongoza miguu,
Siku kuu! siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu kuu.

[V3]
Moyo tulia kwa Bwana, kiini cha raha yako,
Huna njia mbili tena, uwe naye uendako.

[C]

Siku kuu! Siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu kuu,
Hukesha na kuomba tu, ananiongoza miguu,
Siku kuu! siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu kuu.

36. Ni Siku Kuu

Link copied to clipboard successfully!