Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #26

Hymn 26 Tutokapo Tubariki

[V26]
- Tutokapo Tubariki1
Tutokapo tubariki, utupe kufurahi,
Tuwe na pendo lako, neema ya kushinda.
Nawe utuburudishe, tukisafiri chini.

2
Twatoa sifa shukrani, kwa neno la Injili,
Matunda yake wokovu, yaonekane kwetu,
Daima tuwe amani, kwa Kweli yako Bwana.

3
Siku zeku zikizidi, tuzitoe kwa Yesu,
Tuwe na nguvu moyoni, tusichoke njiani,
Hata tutakapoona, Utukufu wa Bwana.

[V1]
26a Mungu Mtukufu God the Omnipotent
1
Mungu mtukufu, aliyeumba Pepo kuvuma na radi kali;
Toa neema unapotawala, tupe amani Bwana wa wema.

2
Mungu wa neema, nchi imeacha Amri tukufu na Neno lako,
Hasira zako zisituharibu, tupe amani, Bwana wa wema.

3
Mwumbaji wa haki, watu wabaya wamedharau utukufu wako,
Lakini wema wako utadumu; endesha kweli Bwana wa wema.

4
Tunakutolea Ibada, safi kwa ajili ya Wokovu wako,
Hivi tunaziimba sifa zako, wako uwezo na utukufu.

26. Tutokapo Tubariki

Link copied to clipboard successfully!