Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #18

Hymn 18 Mwokozi Kama Mchunga

[V1]
Mwokozi kama mchunga, utuongoze leo,
Ututume malishoni, fanya tayari boma,
Bwana Yesu peke yako, umetuvuta kwako.

[V2]
Tu wako uwe rafiki, uwe mlinzi wetu,
Kundi lako ulilinde, tusivutwe na dhambi,
Bwana Yesu tusikie, tukiomba samehe.

[V3]
Umetuahidi kwamba utakubali watu,
Utawahurumia na, utawapa neema,
Bwana Yesu tunapenda, kuwa wako mapema.

18. Mwokozi Kama Mchunga

Link copied to clipboard successfully!