Back to Nyimbo Za Kristo List
Nyimbo Za Kristo #212
Hymn 212 Mtazame Mwokozi
[V1]
Usoni mwake mzuri,
Mambo ya dunia hugeuka,
Uso wake tukiuona.
Usoni mwake mzuri,
Mambo ya dunia hugeuka,
Uso wake tukiuona.