Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #204

Hymn 204 Kuwa na Yesu Nyumbani

[V1]
Furaha nyingi, Furaha nyingi,
Furaha nyingi.
Kuwa na Yesu nyumbani,
Furaha nyingi, Furaha nyingi.

[V2]
Yesu yu ndani ya Baba,
Nyumba salama, nyumba salama, nyumba salama,
Yesu yu ndani ya Baba,
Nyumba salama, nyumba salama.

[V3]
Yesu yu ndani ya Mama,
Nyumba salama, nyumba salama, nyumba salama,
Yesu yu ndani ya Mama.
Nyumba salama, nyumba salama.

[V4]
Yesu ndani ya Watoto,
Nyumba salama, nyumba salama, nyumba salama,
Yesu ndani ya Watoto.
Nyumba salama, nyumba salama.

204. Kuwa na Yesu Nyumbani

Link copied to clipboard successfully!