Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #203

Hymn 203 Siku Sita Fanya Kazi

[V1]
Siku sita fanya kazi, ya saba ni kwa Yesu.
Hapo tunapopumzika, kwani ni yake Yesu.

[C]

Moja mbili tatu nne, tano sita zote kwetu,
Lakini tutakumbuka, ya saba ni kwa Yesu.

[V2]
Huonyesha ya kufanya, kwa kuwa ni ya Yesu,
Na atuonyesha njia, tutamfuata Yesu.

[C]

Moja mbili tatu nne, tano sita zote kwetu,
Lakini tutakumbuka, ya saba ni kwa Yesu.

[V3]
Tuombe kila Sabato, na kujifunza kwake,
Tutamtii daima, tutakaa na Yesu.

[C]

Moja mbili tatu nne, tano sita zote kwetu,
Lakini tutakumbuka, ya saba ni kwa Yesu.

203. Siku Sita Fanya Kazi

Link copied to clipboard successfully!