Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #189

Hymn 189 Mimina Upya

[V1]
Mimina upya, nguvu toka juu,
Tupe pendo lako, ewe Mwokozi.

[C]

Twakusihi sana, Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.

[V2]
Kwako twalia, wenye maovu,
Osha moyo wetu, ututakase.

[C]

Twakusihi sana, Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.

[V3]
Kipaji cha juu, kitume kwetu,
Tubariki sasa, utufariji.

[C]

Twakusihi sana, Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.

[V4]
Isikilize, kwa moyo wazi,
Sauti ya Roho, ubarikiwe.
Meza ya Bwana

[C]

Twakusihi sana, Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.

189. Mimina Upya

Link copied to clipboard successfully!