Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #183

Hymn 183 Furaha na Raha

[V1]
Furaha na raha tutapata, furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata, Yesu anaporudi.

[C]

Yesu anaporudi (rudi), Yesu anaporudi (rudi),
Furaha na raha tutapata, Yesu anaporudi.

[V2]
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu,
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu,
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu ,Yesu anaporudi.

[C]

Yesu anaporudi (rudi), Yesu anaporudi (rudi),
Furaha na raha tutapata, Yesu anaporudi.

[V3]
Hapana machozi arudipo, hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo, kwa wateule wake.

[C]

Yesu anaporudi (rudi), Yesu anaporudi (rudi),
Furaha na raha tutapata, Yesu anaporudi.

183. Furaha na Raha

Link copied to clipboard successfully!