Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #179

Hymn 179 Wavunaji Watafurahi

[V1]
Wavunaji watafurahi, pale watakaporudi,
Wakiyaleta mavuno, hata Yerusalemu.

[C]

Furaha wataipata, furaha hata milele,
Furaha wataipata, wakati wa mavuno.

[V2]
Na siku ile tutaimba, kumshukuru na kumsifu,
Bwana Yesu jumbe wetu, kule Yerusalemu.

[C]

Furaha wataipata, furaha hata milele,
Furaha wataipata, wakati wa mavuno.

[V3]
Wavunaji watafurahi, makaoni mwa milele,
Yaliyowekwa tayari, kule Yerusalemu.

[C]

Furaha wataipata, furaha hata milele,
Furaha wataipata, wakati wa mavuno.

179. Wavunaji Watafurahi

Link copied to clipboard successfully!