Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #171

Hymn 171 Imeanzishwa Hukumu

[V1]
Imeanzishwa hukumu mbinguni, tutasimamaje pale,
Apimapo Mungu Hakimu, kila wazo na tendo?

[C]

Tutasimamaje sote katika siku kuu ile?
Dhambi zetu zitafutika, ama zitatuangusha?

[V2]
Wametangulia wafu kupimwa, kitambo ndipo wahai,
Watapokea neno la mwisho, vitabuni mwa Mungu.

[C]

Tutasimamaje sote katika siku kuu ile?
Dhambi zetu zitafutika, ama zitatuangusha?

[V3]
Tutasimamaje usiku ule, siri zetu kila moja,
Zafunuliwa toka vitabu, Yesu atusaidie!

[C]

Tutasimamaje sote katika siku kuu ile?
Dhambi zetu zitafutika, ama zitatuangusha?

171. Imeanzishwa Hukumu

Link copied to clipboard successfully!