Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #167

Hymn 167 Yesu Bwana Mwokozi

[V1]
Yesu Bwana Mwokozi, aishi milele,
Najua kwamba yupo, pamoja na mimi;
Sauti nasikia, rehema naona,
Wakati namhitaji, yupo nami.

[C]

Yu hai, yu hai, yu hai Bwana Yesu,
Atembea, azungumza nami siku zote.
Yu hai, yu hai, kutoa uzima,
Hivi ndivyo nijuavyo,
Yu hai ndani yangu.

[V2]
Ulinzi wake upo, naona dhahiri,
Miguu ichokapo, sikati tamaa,
Najua aniongoza, katika dhoruba,
Siku ya kuja kwake, nitamwona.

[C]

Yu hai, yu hai, yu hai Bwana Yesu,
Atembea, azungumza nami siku zote.
Yu hai, yu hai, kutoa uzima,
Hivi ndivyo nijuavyo,
Yu hai ndani yangu.

167. Yesu Bwana Mwokozi

Link copied to clipboard successfully!