Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #150

Hymn 150 Hasha Maneno Mabaya

[V1]
Hasha maneno mabaya, yasitoke kinywani
Moyo mwema uzuie, ndimi zisichafuke.

[C]

“Nanyi pendeni,” asema Yesu,
(mpendane) (mpendane)
Kama mwanzo alivyotupenda,
“Nanyi pendeni,” asema Yesu,
(mpendane) (mpendane)
Wana tiini amri hii (amri heri hii).

[V2]
Pendo ni mtakatifu, urafiki mzuri,
Visiharibike mara, kwa kunena vibaya.

[C]

“Nanyi pendeni,” asema Yesu,
(mpendane) (mpendane)
Kama mwanzo alivyotupenda,
“Nanyi pendeni,” asema Yesu,
(mpendane) (mpendane)
Wana tiini amri hii (amri heri hii).

[V3]
Tusinene kwa hasira, inazaa huzuni,
Pendo lako ee Mwokozi, linatosha tushinde.

[C]

“Nanyi pendeni,” asema Yesu,
(mpendane) (mpendane)
Kama mwanzo alivyotupenda,
“Nanyi pendeni,” asema Yesu,
(mpendane) (mpendane)
Wana tiini amri hii (amri heri hii).

150. Hasha Maneno Mabaya

Link copied to clipboard successfully!