Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #123

Hymn 123 Yesu kwa Imani

[V1]
Yesu kwa imani, nakutumaini, peke yako,
Nisikie sasa, na kunitakasa, ni wako kabisa
Tangu leo.

[V2]
Nipe nguvu pia, za kusaidia, moyo wangu,
Ulikufa wewe, wokovu nipewe, nakupenda wewe,
Bwana wangu.

[V3]
Hapa nazunguka, katika mashaka, na matata,
Palipo na giza, utaniongoza, hivi nitaweza kufuata.

123. Yesu kwa Imani

Link copied to clipboard successfully!