Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #121

Hymn 121 Katika Wenye dhambi

[V1]
Katika wenye dhambi, ndimi mkuu wao,
Ila Yesu akaja, kwa dhambi alikufa,
Akamimina damu, niupate uzima.

[V2]
Ajabu! Pendo lake, pendo lililo kuu,
Pendo lisilo mwisho, lidumulo milele,
Lililonitafuta, ingawa sikumpenda.

[V3]
Ingawa ni mbaya, Kristo ni vyote kwangu,
Ajua haja zangu, huzuni zangu zake,
Hata katika vita, akiwapo salama.

121. Katika Wenye dhambi

Link copied to clipboard successfully!