Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #88

Hymn 88 Siku Hii ya Sabato

[V1]
Siku hii ya Sabato, tamu kufikiri,
Juu ya Mungu na mbingu, kuacha dunia.

[V2]
Tamu kusikia neno, toka mhubiri
Anayefundisha toba, tupate uzima.

[V3]
Katika vita na dhambi, ikiwa twashindwa,
Yeye atatupa nguvu, aonaye moyo.

88. Siku Hii ya Sabato

Link copied to clipboard successfully!