Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #66

Hymn 66 Roho Yangu Amka Sasa

[V1]
Roho yangu amka sasa, mara jitahidi,
Shindano ni lake Bwana, zawadi ni taji.

[V2]
Sauti ni yake Mungu inayokuita,
Ndiyo aliyekirimu, taji ya uzima.

[V3]
Mashahidi ndio wengi, wanaokuona,
Ya nyuma usifikiri, bali mwendo kaza.

[V4]
Bwana umetuanzisha, katika shindano,
Kwa vile tunaposhinda, ushindi ni wako.

66. Roho Yangu Amka Sasa

Link copied to clipboard successfully!