Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #41

Hymn 41 Roho Mtakatifu

[V1]
Roho Mtakatifu, kiongozi amini,
Utushike mkono, tulio wasafiri,
Utupe kusikia, sauti ya upole,
“Msafiri fuata, naongoza nyumbani.”

[V2]
Wewe ndiwe rafiki, msaada karibu,
‘Situache shakani, Na tukiwa gizani,
Utupe kusikia, sauti ya upole,
“Msafiri fuata, naongoza nyumbani.”

[V3]
Siku zetu za kazi, zikiwa zimekwisha,
Wala hatuna tamaa, ila mbingu na sala,
Utupe kusikia, sauti ya upole,
“Msafiri fuata, naongoza nyumbani.”

41. Roho Mtakatifu

Link copied to clipboard successfully!