Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #20

Hymn 20 Mungu Wetu Yeye Mwamba

[V1]
Mungu wetu yeye mwamba, kimbilio taabuni,
Msaada penye shida, ulio karibu sana.

[C]

Mwamba wetu kutupumzisha, yu kivuli kuburudisha,
Huongoza katika njia, kimbilio taabuni.

[V2]
Mchana usiku yeye, kimbilio taabuni,
Hivyo hatutaogopa, kwani yu karibu sana.

[C]

Mwamba wetu kutupumzisha, yu kivuli kuburudisha,
Huongoza katika njia, kimbilio taabuni.

[V3]
Iwayo yote Yeye tu, kimbilio taabuni,
Twamjua Yeye mlinzi, aliye karibu sana.

[C]

Mwamba wetu kutupumzisha, yu kivuli kuburudisha,
Huongoza katika njia, kimbilio taabuni.

[V4]
Mungu wetu ficho kwetu, kimbilio taabuni,
Siku zote uwe boma, lililo karibu sana.

[C]

Mwamba wetu kutupumzisha, yu kivuli kuburudisha,
Huongoza katika njia, kimbilio taabuni.

20. Mungu Wetu Yeye Mwamba

Link copied to clipboard successfully!