Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #16

Hymn 16 Bwana Ninakuhitaji

[V1]
Bwana ninakuhitaji, Ni mpofu, maskini,
Unishike mkononi, kwako napata nguvu.

[C]

Kila saa, kila saa, Bwana ninakuhitaji,
Kila saa, kila saa, unilinde kila saa.

[V2]
Univike na mavazi, ya usikivu wako,
Nguo zangu zote chafu, nazitamani zako.

[C]

Kila saa, kila saa, Bwana ninakuhitaji,
Kila saa, kila saa, unilinde kila saa.

[V3]
Wewe ukiniongoza, nitakwenda salama,
Nenda nami siku zote, u nuru na uzima.

[C]

Kila saa, kila saa, Bwana ninakuhitaji,
Kila saa, kila saa, unilinde kila saa.

[V4]
Na ikiwa huko mbele, sehemu yangu ngumu,
Au ikiwa furaha, unilinde kila saa.

[C]

Kila saa, kila saa, Bwana ninakuhitaji,
Kila saa, kila saa, unilinde kila saa.

16. Bwana Ninakuhitaji

Link copied to clipboard successfully!