Hymn 6 Kumekucha kwa Uzuri

[V1]
Kumekucha kwa uzuri, nafumbua macho,
Baba amenihifadhi, ni wake mtoto.

[V2]
Bwana niwe leo kutwa, ulinzini mwako,
Nisamehe dhambi, niwe mikononi mwako.

[V3]
Roho wako anikae, moyoni daima,
Anitakase nione, uso wako mwema.

6. Kumekucha kwa Uzuri

Link copied to clipboard successfully!