Back to Nyimbo Za Kristo List Nyimbo Za Kristo #206

Hymn 206 Mwokozi Wangu Alinipenda

[V1]
Mwokozi wangu alinipenda, maovu hayanitengi naye,
Alijitoa kuniponya, sasa mimi wake.

[C]

Mimi wake kabisa, naye Yesu wangu,
Si kwa wakati huu tu, bali na milele.

[V2]
Dhambini nilijidhili sana, Yesu akaja kunikomboa,
Akanitoa sumbukoni, sasa mimi wake.

[C]

Mimi wake kabisa, naye Yesu wangu,
Si kwa wakati huu tu, bali na milele.

[V3]
Furaha nyingi moyoni mwangu, Bwana Yesu kuni-
fanya huru, Kunitwaa kwa damu yake, sasa m

[C]

Mimi wake kabisa, naye Yesu wangu,
Si kwa wakati huu tu, bali na milele.

206. Mwokozi Wangu Alinipenda

Link copied to clipboard successfully!